Amrullah Saleh: Jasusi mwenye "roho tisa" ambaye majaribio mfululizo ya kumuua yalifeli
Huenda umeshasikia madai kwamba mmoja wa viumbe ambao ni vigumu kuuawa ni paka, jambo ambalo limepelekea myth (imani ambayo haijathibitika) kuwa paka ana "uhai mara tisa" (a cat has nine lives).
Na myth hiyo imepelekea msemo "flani ni paka mwenye uhai mara tisa." Kama huyu bwana Amrullah Saleh, makamu wa rais wa zamani wa Afghanistan.
Kabla ya kuingia kwe…