Askofu Aongelea Suala la Wanaharakati vs Serikali Kuhusu Mkopo wa Benki ya Dunia
SAKATA LA MHESHIMIWA ZITTO, SERIKALI NA BENKI YA DUNIA LITUFUNGUE MACHO KUHUSU UMUHIMU WA MARIDHIANO YA KISIASA NCHINI
Nimeona barua iliyoandikwa na Mheshimiwa Zitto Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini kwenda Benki ya Dunia kuiomba Benki hiyo izuie au iahirishe kutoa mkopo kwa Serikali ya Tanzania uliokuwa unaelekezwa katika sekta ya elimu nchini. Pia, nimesik…