Askofu Bagonza Akerwa na Kukemea Kauli Ya Kangi Lugola Kuwa 'Magufuli ni Yesu.'
Anaandika Baba Askofu Benson Bagonza, PhD, katika ukurasa wake wa Facebook
KUFURU HAINA KINGA
Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Katika Agano la Kale ni dhambi ya ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema, "Mimi ni Bwana Mungu wako, usiwe na miungu mingine" (Kutoka 20:3-6). Kufuru hai…