Askofu Mwamakula Amuonya Magufuli, Spika na Wabunge Kuhusu Kuondoa Ukomo wa Urais
Naiwasilisha kama nilivyokutana nayo huko Jamii Forums:
ONYO KWA WABUNGE, SPIKA, NA RAIS MAGUFULI
Nimemsikia Mbunge mmoja akiongea Bungeni akitaka Bunge libadilishe Katiba ya Nchi ili kumfanya Rais Magufuli aendelee kutawala hata baada ya kumaliza kipindi chake cha kikatiba cha miaka 10. Kama hilo halitoshi, Spika Ndugai amesikika akimhakikishia Mbunge hu…