Baba Askofu Niwemugizi - moja ya sauti adimu za uongozi wa kiroho - Atahadharisha Kuhusu Korona
Eid Mubarak kwa ndugu zangu Waislam.
Nimekutana na bandiko hili la Baba Askofu Severine Niwemugizi huko Jamii Forums, nikaonelea ni vema kuwashirikisha.
Nawaza kivyangu kwa sauti. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika ibara ya 19 (2) inasema hivi: “Kazi ya kutangaza dini, kufanya ibada na kueneza dini itakuwa ni huru na jambo la…