Naomba kuwasilisha habari husika kama ilivyo
Kaimu Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Dk Inmi Patterson amemtembelea Anna Pinoni ambaye ni mke wa mwandishi wa habari wa kujitegemea wa kampuni ya Mwananchi Communication Limited (MCL) mkoani Pwani, Azory Gwanda.
Azory alitekwa na watu wasiojulikana Novemba 27, 2017 ambapo kwa mujibu wa Anna, siku hiyo asub…