#BaruaYaChahali Chatroom: Karibu tuongee
Sehemu ya maongezi (chat) kwa wanachama wa kijarida cha Barua ya Chahali
Jasusi ana furaha kukufahamisha kuanzishwa kwa chat kwa ajili ya wanachama (subscribers) wa kijarida hiki chenye umri wa miaka minne na ushee sasa
Hii ni fursa ya maongezi, kutoa ushauri, pongezi na hata kukosoa, kuuliza swali au hata ikibidi kuwasilisha ombi la msaada/ushauri kutoka kwa wanachama wengine wa kijarida hiki cha kwanza kwa ubora duniani kwa…