#BaruaYaChahali, Moja ya Vijarida Bora Kabisa Duniani Kwa Lugha ya Kiswahili, Kinatimiza Mwaka wa Tatu Tangu Kianzishwe Januari 15, 2019
Kijarida chako cha #BaruaYaChahali leo kinatimiza miaka mitatu kamili tangu kianzishwe. Ni safari ngumu, kwa sababu mara tu baada ya kuanzishwa, kilizuiliwa kuonekana nchini Tanzania isipokuwa kwa kutumia VPN. Japo si vema kufurahia mabaya yanayomkuta mtu, Magufuli aliyetoa agizo hilo leo ni marehemu ilhali kijarida sio tu kipo hai bali kinaendelea kutu…