Breaking News: Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa ajiuzulu
Kitambo sasa imekuwa ikifahamika kuwa ilikuwa ni suala la muda tu, na si endapo, kabla ya mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, hajatoka kwenye wadhifa huo.
Hatimaye hilo limejiri leo APRILI MOSI.
Taarifa zaidi sambamba na uchambuzi wa kijasusi kuwajia baadaye leo.