CCM Yasitisha Malipo Kwa "Watetezi wake Mtandaoni" aka "Lumumba Buku Saba" Kisa Korona ๐
Mtumishi wako kaiona habari hii huko Jamii Forums na akadhani ni vema akushirikishe. Hawa wahuni wa โBuku Saba Lumumbaโ wanatusumbua kweli mtandaoni lakini naona โkorona imeingilia kati.โ Classic case of โkufa kufaana.โ๐
Ulipolileta wazo la kuanzisha 'Timu ya Utetezi wa CCM' mitandaoni katika vikao vya kichama ulisifiwa na wazo lako lako likapita. Vijaโฆ