CCM yawapitisha mabosi wa zamani wa kitengo Kipilimba, Diwani na Masoro kuwa warithi wa nafasi ya uenezi ya Bashite, pia wamo 'pacha wa Bashite' Nzowa na Sabaya kwenye unaibu
Pengine katika kuimarisha uhusiano kati ya CCM na kitengo, chama hicho tawala kimepitisha majina ya wakuu wa zamani wa kitengo Dokta Kipilimba, Diwani Athumani na Saidi Masoro kwa ajili ya nafasi ya Mwenezi iliyoachwa wazi na Bashite aliyeshushwa cheo juzi na kupewa ukuu wa mkoa.
Kipilimba alikuwa mkuu wa kitengo tangu mwanzoni mwa utawala wa Mwendzake h…