#Coronavirus: Mbinu/Nyenzo Za Kujengea Uimara Nyakati Za Hofu/Shaka
Kuanzia wiki hii nitakuwa nikikuletea mada mbalimbali za "jinsi ya kuwa mtu imara katika nyakati za hofu/shaka kama hizi za janga la korona."
Kwa lugha ya kitaalamu, mada zitalenga kukupatia mbinu/nyenzo za "personal development" kama mkakati wa kukabiliana na janga la korona.
Mada hizi zitakuwa fupi, na za lugha nyepesi kueleweka. Endapo utahitaji ufafa…