Dear Mama Samia, CCM Inapata Wapi Mamlaka Ya Kutengua Amri Halali ya Polisi wa Usalama Barabarani Kuhusu Boadaboda Kuingia Mjini Kati Dar?
This sets a bad precedence. Katibu Mwenezi wa CCM anapoweza kutengua amri halali ya kisheria ya jeshi la polisi, ni hatari.
CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza marufuku ya waendesha bodaboda na bajaji kutofika au kufanya shughuli zao katikati jiji la Dar isitishwe mara moja kwa kuwa si muaf…