Dear Mama Samia, Kauli za Waziri Mkuu Majaliwa Kwamba Taarifa za Uwepo wa Korona Tanzania ni "Vita ya Kibiashara" Zinakwaza Hatua Stahili Dhidi ya Maambukizi ya Ugonjwa Huo.
Haipendezi kuwa muongo. Lakini haipendezi zaidi kwa kiongozi kuwa muongo. Mbaya zaidi kiongozi husika ni Waziri Mkuu. Mara kadhaa, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekuwa mwepesi wa kusema uongo hata pale pasipo na haja ya kufanya hivyo. Haihitaji kuorodhesha uongo uliowahi kusemwa na kiongozi huyo.
Wakati nchi mbalimbali duniani zikijibidiisha kuchukua hatu…