Dear Mama Samia, sikia kilio hiki cha watumishi zaidi ya 700 wa kampuni ya Tanzanite One Mererani wanaodai stahili zao
Nimetumiwa barua hii na mtu aliyejitambulisha kama kiongozi wa wafanyakazi na kuniomba nifikishe kilio chao kwa Rais Samia Suluhu. Nawasilisha kama nilivyopokea [nimehariri sarufi tu]
Habari mkuu, mimi ni [jina limehifadhiwa] ni kiongozi wa wafanyakazi 700+ wa kampuni ya TanzaniteOne Mining Ltd ya Mererani.
Kampuni hiyo ilikuwa inaundwa kwa ubia wa maka…