Dear Mama Samia, Kumezuka "Vijimaneno" Kuhusu Safari Zako "Mfululizo" Kwenda Zanzibar, Mwanza.
Kwanza kabla sijaingia kwenye mada husika, naomba nirudie tena msimamo wangu kuwa bado ninamuunga mkono Mama Samia Suluhu. Na japo silazimiki kusema kwanini namuunga mkono, haina ubaya kutanabaisha sababu kuu tatu za uamuzi wangu huo mgumu.
Yes, ni uamuzi mgumu kumuunga mkono japo mjumbe wa nyumba kumi wa CCM let alone Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho …