Dear Mama @SuluhuSamia, Hawa Waliofoji Picha Hii Kwenye Gazeti la The Scotsman la Hapa Uskochi Wamekudhalilisha, Wachukulie Hatua
Idara yetu ya Usalama wa Taifa ni janga la kitaifa. Huhitaji kuwa jasusi kama mie kubaini hilo. Ni janga la kitaifa kwa sababu lukuki, lakini ya msingi zaidi ni taasisi hiyo kuwa na watu wasio na akili (lack of intelligence) ilhali fani husika inahitaji akili kubwa kabisa. Na katika kuficha ukosefu huo wa akili, wahuni hao hukimbilia kwenye “ubunifu wa …