Dear Mama @SuluhuSamia mawaziri, manaibu, makatibu wakuu wanaolumbana wanapaswa kupumzishwa na si kuhamishwa
Dear Mama Samia, nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee.
Baada ya salamu zangu za heshima na taadhima, naomba uniruhusu kutoa maoni yangu kama Mtanzania, na kama miongoni mwa watu ambao tangu uingie madarakani, na hadi sasa unakaribia kutimiza mwaka wa pili, tumekuwa tukikusapoti na kutamani kuona unafanikiwa katika wadhifa…