Didier Abdallah Mlawa Na Mkakati Mkubwa Wa Kumchafua Mama Samia
Taarifa za kiintelijensia zinatanabaisha kuwa Didier Abdallah Mlawa, mmoja wa watu ambao wamekuwa mstari wa mbele kumtukana Rais wa Sita wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Saluhu, ameingizwa rasmi kwenye mkakati endelevu wa kumhujumu kiongozi huyo.
Awali mpango ulikuwa kuwa uchafuzi huo dhidi ya Mama Samia uanze mara tu baada ya kuisha kwa M…