Exclusive: Kiongozi Mwandamizi wa Chadema Akutana na JK, Kinana na Mkurugenzi Mkuu wa Idara Ya Usalama wa Taifa, Diwani Athuman, Kuhusu Kesi ya Mbowe.
Jitihada za kumaliza kesi ya ugaidi na uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Mheshimiwa Freeman Mbowe, zinaendelea “nyuma ya pazia,” ambapo taarifa za uhakika zinaeleza kuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika, amekutana na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya …