Kwanza, Barua ya Chahali inawashukuru nyote mnaotumia muda wenu adimu kutembelea kijarida hiki na/au kujisajili kutumiwa kwa baruapepe.
Shukrani zaidi kwa mnaokisapoti kijarida hiki kwa kuwa wanachama wa kulipia (paid subscriber).
Kama mmoja wa Watanzania wachache wenye kiu kubwa kabisa ya kuhabarisha na kufundisha, Jasusi anatamani sana yanayochapishwa…