Explainer: Vita kati ya Russia na Ukraine, kwa maneno machache lakini kwa kina kirefu, katika Kiswahili fasaha kabisa (haya ni maeneo ya kujidai ya jasusi wako ☺️)
Bandiko hili nililiweka huko Instagram jana.
Kuna wadau wameomba nieleze kwa kifupi kuhusu Russia kuivamia Ukraine mapema leo.
Kwa kifupi:
What's happening? Russia hatimaye imeivamia Ukraine baada ya vitisho vilivyodumu kitambo
Why? Putin, rais jasusi wa Russia, ametoa visingizio kadhaa. Kisingizio kikuu ni kwamba dhamira ya Ukraine kujiunga na Umoja wa Ku…