#Flashback 03.11.19: Ishara kuwa huenda simu yako imehujumiwa na wahuni wa 'MATAGA' au 'Kikosi Kazi cha Bashite'
#Flashback Novemba 3, 2019
Ishara Kuwa Huenda Simu Yako Imehujumiwa na MATAGA au Kikosi Kazi cha Bashite
Moja ya athari za utawala wa jiwe ambazo Watanzania wataishi nazo muda mrefu pengine bila kufahamu ni jinsi ailivyokivuruga Kitengo kwa kuwaingiza wahuni wa MATAGA. Hilo moja, lakini pengine baya na la hatari zaidi ni nguvu kubwa alizompatia mwanae Bas…