[Free Access] Tathmini fupi ya kijasusi kuhusu mabadiliko ya baadhi ya ma-RC: mgomo wa wafanyabiashara Kariakoo wamng'oa Makalla Dar, apelekwa Mwanza, Chalamila ataiweza 'Bandari ya Salama'?
Tathmini fupi ya kijasusi: kilichopelekea mabadiliko haya madogo ya baadhi ya wakuu wa mikoa ni kung’olewa kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla (mwenyewe anajiita CPA Amos Makalla 😊).
Na kung’olewa huko kumetokana na kufeli kwake kushughulikia mgomo wa wafanyabiashara wa soko kuu la Kariakoo uliojiri kwa masaa kadhaa hapo jana.
Na l…