[Free Access] Waraka kwa Mama @SuluhuSamia: kama Rais wetu hatupaswi kukupangia ila kwa vile twakupenda, yatupasa kukwambia ukweli - waziri wa fedha "anakuingiza chaka".
Dear Mama Samia,
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kazi iendelee.
Naomba tena kurudia kwa mara ya ngapi sijui kutanabaisha kuwa mie Jasusi ni miongoni mwa Watanzania ambao sio tu wanakuunga mkono muda huu bali wanaoendelea kukuunga mkono tangu siku ulipoapishwa Machi 19 mwaka juzi.
Kwa bahati mbaya, Tanzania yetu imefika mahali ambapo…