Guest Column - Kada Wa CCM: Mitego Ya Kisiasa Dhidi Ya Rais (@SuluhuSamia)
Kuna wingu jeusi la kisiasa linakatiza kuifunika Tanzania. Wingu hili lilikuwepo kipindi Fulani hapo nyuma na ikaonekana kana kwamba anga linafunguka na nuru ya uhai kurejea kwenye misingi inayounda Taifa letu. Jemedari wetu ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa, Mama Samia Suluhu Hassan almaarufu SSH ameingia katikati ya mtanziko…