Guest Column: Ushauri Kwako Mama Samia Kutoka Kwa Kada Wa Chama Chako CCM Kuhusu Masuala Mbalimbali
Kijarida hiki ambacho kimsingi ni chenu Watanzania, nami ni mtumishi mwendeshaji tu, sasa kinapokea makala kutoka kwa wadau mbalimbali. Endapo kutahitajika uhariri, basi nifahamishe mtumishi wako.
Katika toleo hili, kuna makala ya kada mmoja wa CCM ambaye ameomba jina lake lihifadhiwe. Anatoa ushauri kwa Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho, Rais Mama Sam…