Heri ya PASAKA, taarifa fupi ya kiintelijensia: Bashite alikoroga, ashushwa cheo na kupewa ukuu wa Mkoa Arusha, fahamu kilichosababisha hayo
Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko mbalimbali ya watendaji, ambapo kubwa zaidi ni kushushwa cheo kwa Bashite, kutoka nafasi yenye nguvu, na ya kitaifa, ya Katika Mwenezi wa CCM, na kupelekewa Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa.
Taarifa hii fupi inaeleza yaliyopelekea Bashite kushushwa cheo.