Hongera CCM kwa Kutimiza Miaka 48: Haya ni Baadhi ya Mapungufu Yenu
Angalizo: Makala hii ilichapishwa wakati wa maadhimisho ya miaka 45 ya CCM.
Jana Februari 5, Chama Cha Mapinduzi kimetimiza miaka 45 tangu kianzishwe. Chama hicho kiliadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa kwake mkoani Mara ambako Mwenyekiti wake wa Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa mgeni rasmi.
Kwa vile takriban wiki nzima kabla ya sikukuu hiyo, viongoz…