Hongera mkuu Mo (@moodewji) kwa kuendeleza rekodi yako ya kuwa mtu tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati kwa miaka kadhaa mfululizo
Mfanyabiashara Mohammed Dewji wa Tanzania ameendeleza rekodi yake ya kuwa mtu tajiri kuliko wote sio Tanzania tu bali pia ukanda mzima wa Afrika Mashariki na Kati .
Dewji, maarufu kama “Mo”, amekuwa katika nafasi hiyo kwa miaka kadhaa mfululizo.
Kinachovutia zaidi kuhusu mfanyabiashara huyo ni kwamba licha ya utajiri wake mkubwa, ni mtu mcheshi na mweny…