Safu mpya ya "MAISHA" [Episode 1]: Hongera Mwamvita Makamba (@Makambas) kwa kuiwakilisha vema Tanzania kimataifa kupitia utumishi wako wa kupigiwa mstari wa miaka 14 huko Vodacom
Heri ya mwezi mpya wa Agosti. Mwezi huu unaanza na safu mpya katika kijarida hiki, safu ya “MAISHA”.
Safu hii itajikita kuhusu watu mbalimbali, maarufu na wa kawaida, lakini msisitizo ni nafasi yao kwa jamii, au mchango wao kwa jamii, au vyote.
Anayetufungulia safu hii si mwingine bali ni Mwamvita Makamba, mwanadada wa Kitanzania aliyeitumikia kampuni ya…