Hongera sana mkuu Mo (@moodewji) kwa kuendelea kwa mwaka wa 10 mfululizo kuwa mtu tajiri kuliko wote katika nchi za Afrika Mashariki na Kati na mmoja wa mabilionea 20 barani Afrika
Kwa mara nyingine kwa mwaka wa 10 mfululizo, Mtanzania tajiri kuliko wote, Mohammed “Mo” Dewji ameendelea kuwa mtu tajiri kuliko wote Afrika Mashariki na Kati.
Licha ya kuwa mtu tajiri kuliko wote katika ukanda huo, Mo pia ndio bilionea pekee wa dola (US Dollar billionaire) katika eneo hilo.
Kwa mujibu wa orodha ya watu matajiri duniani ya Gazeti maarufu …