'Honourable Mention' kwa Mtumishi/Jasusi Wako Kuhusu Kifo cha Mwendazake
Bingirika hapa chini kwa habari kamili katika toleo la jana la gazeti la Mwananchi
Dar es Salaam. Aprili 4, 1841, usiku, Marekani kwa mara ya kwanza walimpoteza Rais akiwa madarakani. Ni William Henry Harrison. Alikaa madarakani kwa siku 31 tu.
Harrison, aliapishwa kushika madaraka ya urais Machi 4, 1841, kisha Aprili 4, 1841, akaitikia wito wa Mungu, kwa…