Huyu Ndio Mkuu wa Wasiojulikana, Bwana NYAULINGO
Jasusi wako nimepokea maombi mengi ya watu wanaotaka kumfahamu huyo kigogo wa “Wasiojulikana” ambaye majuzi “amekutwa na la kumkuta.”
Nami nimejibidiisha hadi kufanikiwa kupata picha yake.
Mtu asiyejulikana sasa anajulikana 😎
TANGAZO: Jinsi ya kujiunga na #BaruaYaChahali: Uanachama kwa mwaka mzima ni sh100,00 au sh 10,000 kwa mwezi. Tuma mchango wako kwa…