#JinsiYaKuwaMtuBora: Majambazi 7 wa "Amani Yako" Unaopaswa Kuwatimua Haraka Sana
Muda ni ghali. Na hakuna uwezekano wa kufidia muda uliopotea. Leo, Jumatano ya Januari 19, 2022 ni “muujiza ambao kamwe hautojirudia.” Siku hii. Dakika hii. Saa hii. Wiki hii. Mwezi huu. Mwaka huu. Kamwe vitu hivi havitojirudia.
Yes, mwakani kutakuwa na Januari 19 kama leo lakini haitokuwa mwaka 2022 bali 2023. Kesho kutakuwa na asubuhi, mchana, jioni n…