Jisajili Kupokea Kijitabu Hiki Bure Kila Mwezi
Ninakualika ujisajili kupokea kijitabu hiki cha kielektroniki cha bure ambacho nitakuwa nikikichapisha kila mwezi. Kijitabu hiki ni mkusanyiko wa twiti zangu zenye nukuu mbalimbali za motivation, inspiration, lifehacks, lifestyle, creativity na vitu kama hivyo ambavyo kwa pamoja vinaunda kitu kinachofahamika kama personal development, au kwa tafsiri isi…