Kama Jasusi alivyobashiri jana, Irani sasa yatuhumiwa kuwa iliisaidia Hamas kupanga mashambulizi dhidi ya Israeli, uwezekano wa "vita ya kutisha" ni mkubwa
Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu lilitoa idhini ya mwisho Jumatatu iliyopita huko Beirut
Jana katika TwitterSpace, Jasusi alieleza kuwa halitokuwa jambo la kushangaza kusikia Israeli ikiituhumu Irani kuwa ilihusika kupanga mashambulio yaliyofanywa na kikundi cha Hamas nchini Israeli na kupelekea zaidi ya vifo 700 hadi wakati makala hii inaandikwa. Na sasa imekuwa hivyo.