Kinyago walichochonga wenyewe sasa kinawatisha: Chadema wahaha kumzuia Prof Hoseah asichaguliwe tena TLS japo Chadema haohao ndio waliomnadi kwa nguvu zote uchaguzi uliopita
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kipo kwenye jitihada kubwa za kupiga kampeni dhidi ya Profesa Edward Hoseah asirudi kwenye nafasi ya urais wa Chama cha Wanasheria Tanzania Bara (TLS) licha ya ukweli kwamba chama hichohicho ndio kilichopiga kampeni ya nguvu kuhakikisha Profesa Hosea anapata nafasi hiyo kwenye uchaguzi mkuu wa chama hicho mwak…