Kipigo cha mabao 5 - 1 walichopewa Simba kutoka kwa Yanga: wadau wengi washauri kocha atimuliwe, baadhi washauri Mo (@moodewji) achukue timu kutoka kwa akina 'Try Again'
Novemba 5, 2023 itabaki kwenye kumbukumbu za muda mrefu kwa wapenzi wa timu ya Simba ambayo japa ilipewa kipigo kikali cha mabao matano kutoka kwa watani wao wa jadi Yanga. Simba ilifanikiwa kufunga bao moja tu.
Licha ya majonzi makubwa yaliyowakabili kutokana na matokeo hayo, baadhi ya wapenzi wa timu hiyo wamemtupia lawama kocha Roberto Oliveira, raia …