Knowledge is Power: Jinsi Ya Kutafuta/Kupata/Kuhakiki Taarifa kuhusu #Coronavirus
Baada ya mada ya utambulisho, twende kwenye mada nyingine katika mwendelezo (series) huu wa mada za "kukujengea uimara katika nyakati za hofu/shaka kama zama hizi za janga la korona."
Lakini kabla sijaingia kwenye mada naomba kukusisitiza kitu kimoja muhimu. Afya yako si ya Magufuli wala serikali yake. Usiruhusu wakupangie nini cha kusoma/kutazama/kusiki…