Kozi ya Open Source Intelligence #OSINT kwa Kiswahili: anwani feki za baruapepe; sura (DP) feki; burner phone; vivinjari (browsers) vya upelelezi wa OSINT
Masomo yaliyopita yalihusu kuficha ushahidi na kutengeneza utambulisho feki aka sock puppets.
Kama ilivyoelezwa mwanzoni mwa kozi hii, ni lazima kusoma masomo yaliyotangulia ili uweze kuendana na masomo yaliyopo/yajayo.
Kwahiyo, ni muhimu kusoma masomo haya ya awali
Kozi ya BURE ya Open Source Intelligence - #OSINT - kwa lugha ya #kiswahili
Somo la 1, 2 na 3 baruayachahali.com/p/heri-ya-mwez…
Somo la 4 na 5 baruayachahali.com/p/kozi-ya-bure…
Somo la 6 na 7