Kwaheri Da Mwele: Nitaenzi Heshima Uliyonipa 2015 Kuwa Mmoja wa Washauri Wako Kwenye Dhamira Yako ya Kuwania Urais. Tanzania Imempoteza Mwanasayansi Mtafiti Mbobevu. Rest in Power, Dadangu ðŸ˜ðŸ˜ðŸ˜
Jana jioni nilikutana na twiti iliyoashiria kuwa Dokta Mwele Malecela hayupo nasi tena duniani. Sikutaka kuamini, ikabidi niende kwa Mange kupata uhakika huku nikiomba taarifa hizo za kifo zisiwe kweli. Unfortunately, it was and it is true. Yaani kama ndoto vile, only that it isn't.
Moja ya kumbukumbu muhimu kwangu kuhusu Dokta Mwele ni mwaka 2015 alipo…