Kwaheri Twitter? Kampuni ya Meta inayomiliki Insta, FB na Whatsapp kesho inazindua app mpya iitwayo THREADS inayolenga kuipiku Twitter
Kampuni ya Meta, inayomiliki Facebook, Whatsapp na Instagram kesho inazindua app mpya iitwayo Threads, ambayo tayari inatajwa kama itakayoleta upinzani halisi dhidi ya Twitter.
App hiyo inakuja wakati Twitter ikiwa kwenye msukosuko mkubwa tangu iliponunuliwa na bilionea Elon Musk ambaye analaumiwa vikali kwa “kuungoroa” mtandao huo wa kijamii.
Licha ya “m…