Magufuli alipinga kuhusu COVID-19, lakini alipofariki, msimamo wa Tanzania ukabadilika, na nchi ikapewa mkopo wa takriban DOLA BILIONI 1. Soma jinsi fedha hizo 'zilivyopigwa'
Baada ya kwanza kukanusha janga la Covid-19, Tanzania sasa haiwezi kuwajibika kikamilifu kwa misaada iliyopokelewa kutoka nje ya nchi