Magufuli, Chadema Na Mauaji Ya Kisiasa
Imefika Mahala Mauaji Ya Kisiasa Yamezoeleka, Hadi Yanapuuzwa.
Kabla ya kuingia kwenye mada ya wiki hii ningependa kutumia fursa hii kuwashukuru wasomaji 28 mliojitolea kuchangia kijarida hiki ambacho sasa kinajumuisha vijarida vitano kwa wiki.
Pengine watu 28 sio wengi hasa ikizingatiwa kuwa jumla ya mliojisajili kupokea #BaruaYaChahali ni takriban watu 2,000. Hata hivyo, jana nililazimika kuwaondoa takriban subsc…