Makala Ya Wazi: Achana Na VODA Kama Unajali Haki Yako Ya Faragha
Kumbuka Mabadiliko Huanza Na Mtu Mmoja.
Moja ya mambo yanayokera mno kuhusu Tanzania yetu ni “ukondoo” wa wananchi. By “ukondoo” ninamaanisha watu wazima na akili zao kufanywa - ashakum si matusi - MAFALA. Badala ya kukasirika, watu wengi wapo bize na ubuyu, kubeti na vitu vingine visivyo na msingi.
Ukienda sehemu kama Instagram huwezi kuamini kuwa muda huu tunaoongea, kuna mamia kama sio mae…