Makala Ya Wazi: Uamuzi wa Chadema Kujitoa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Kwamba uchaguzi huu wa serikali za mitaa ni uhuni wa kidemokrasia, hilo wala si jambo linalohitaji mjadala. Labda tunachoweza ku-note ni kwamba uchaguzi huu utaingia kwenye historia ya taifa letu, pengine kama ishara rasmi ya kupulizwa kipyenga cha utawala wa kidikteta.
Kwamba wapinzani wana kila sababu na haki kulalamikia na Hata kususia uchaguzi huo n…