Matukio Makubwa 10 ya Kishushushu Barani Afrika Mwaka 2024
Kijarida dada cha Ujasusi Blog kiliwahabarisha wasomaji wake kila siku kuhusu kila lilojiri kwenye ulimwengu wa intelijensia duniani kote. Katika makala hii maalum, Barua Ya Chahali inakuletea kutoka Ujasusi Blog matukio makubwa 10 yaliyojiri barani Afrika mwaka 2024 kuhusiana na tasnia ya intelijensia.