Nianze kwa kuwashukuru wengi mliojitokeza kujisajili upya kwa ajili ya muundo mpya wa kijarida hiki, ambapo kwa malipo kidogo tu ya sh 50,000 kwa mwaka, “mwanachama” (paid subscriber) atatumiwa sio tu kijarida hiki bali vijarida vingine vinne.
Idadi ya waliokwishajisajili ni watu 70. Pengine inaweza kuonekana ni idadi ndogo lakini kwangu ni bora niwatumi…