Mkuu wa Idara ya ushushushu wa ndani ya Israeli (ShinBet), Ronen Bar, asema anabeba lawama za taasisi hiyo kufeli kuzuwia mashambulizi ya Hamas, atajiuzulu baada ya vita
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa wa ndani nchini Israeli (ShinBet), Ronen Bar, amejitwika lawama za kufeli kwa taasisi hiyo kuzuwia mashambulizi ya kikundi cha Hamas nchini humo ambayo yamepelekea vifo vya zaidi ya Waisraeli 1,400.
Kadhalika, Hamas inawashikilia Waisraeli 199 kama mateka.
Ronen, ambaye ni shushushu mbobevu, alieleza kwamba licha ya jit…